Kiiranun

Kiiranun ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino na Malaysia inayozungumzwa na Wairanun. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiiranun nchini Ufilipino imehesabiwa kuwa watu 241,000. Pia kuna wasemaji 15,000 nchini Malaysia (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiiranun iko katika kundi la Kifilipino.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search